TAG
group Tanzania Assemblies of God – CMF

IDARA YA WANAUME TAG

Wanaume ni Makomandoo wa Kristo

Ee Bwana, fufua kazi yako katikati ya miaka...

1 Wanachama
0 Sehemu
0 Makanisa
2000 Mwaka wa Kuanzishwa
keyboard_arrow_down
Kuhusu Idara

Christian Men's Fellowship (CMF)

Tanzania Assemblies of God – Jimbo la Ubungo

Christian Men's Fellowship (CMF) una historia ndefu katika TAG. Kwanza, wazo lilianza kama shauku ya uongozi wa Kanisa kitaifa. Pili, ilitokana na hitaji la wanaume wenyewe, na vilevile lilikuwa ombi la muda mrefu kutoka kwa Idara ya Wanawake Watumishi wa Kristo (W.W.K) wa kanisa letu.

Idara hii ni Mahususi kwa ajili ya kuwaunganisha wanaume wote wa TAG ikiwemo wababa na vijana wa kiume. Mwaka 2008, chini ya Askofu Dr. Barnabas Mtokambali, TAG ilitengeneza Dira ya Maendeleo ya Kanisa yenye mkakati wa "Anzisha Idara ya Wanaume".

visibility
Dira

Kuwa chama chenye nguvu cha wanaume wanaomheshimu Mungu na kutumikia jamii.

flag
Dhamira

Kujengana katika imani, familia, na kufanya kazi ya Mungu ndani ya jamii zetu.

stars Misingi Yetu
check_circleImani
check_circleUmoja
check_circleHuduma
check_circleFamilia
check_circleUadilifu
check_circleUpendo wa Kindugu
check_circleMafunzo ya Kiroho
TAG

Tanzania Assemblies of God

All The Gospel – All The World

Muundo

Muundo wa CMF – TAG

Jinsi inavyopangwa Idara ya Wanaume katika Jimbo la Ubungo

account_balance Askofu Jimbo Kiongozi Mkuu wa Jimbo
device_hub Sehemu (0) Kila Sehemu ina Kiongozi
church Makanisa (0) Mchungaji + Kiongozi wa CMF
people Wanachama (1) Wanaume wa TAG – CMF
Uongozi

Viongozi Wetu

Wanaotupopea katika safari ya imani

people_outline

Viongozi vitaongezwa hivi karibuni.

CMF

Una Akaunti ya Mwanachama?

Ingia kwenye dashibodi – angalia michango, wasifu wako, na taarifa za CMF Jimbo la Ubungo.

login Ingia Sasa
Mawasiliano

Wasiliana Nasi

Tupigie moja kwa moja au tuma barua pepe

email
place
Mahali

Ubungo, Dar es Salaam

chat
sendTuma Ujumbe
person
phone
email
subject
message